Waroma 12:14-15
Waroma 12:14-15 Biblia Habari Njema (BHN)
Watakieni baraka wote wanaowadhulumu nyinyi; naam, watakieni baraka na wala msiwalaani. Furahini pamoja na wenye kufurahi, lieni pamoja na wenye kulia.
Shirikisha
Soma Waroma 12Waroma 12:14-15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wabarikini wanaowaudhi; barikini, wala msilaani. Furahini pamoja nao wafurahio; lieni pamoja nao waliao.
Shirikisha
Soma Waroma 12