Waroma 12:12
Waroma 12:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Tumaini lenu liwaweke daima wenye furaha; muwe na saburi katika shida, na kusali daima.
Shirikisha
Soma Waroma 12Waroma 12:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
kwa tumaini, mkifurahi; katika dhiki, mkisubiri; mkidumu katika kusali
Shirikisha
Soma Waroma 12Waroma 12:12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
kwa tumaini, mkifurahi; katika dhiki, mkisubiri; katika kusali, mkidumu
Shirikisha
Soma Waroma 12