Waroma 11:35-36
Waroma 11:35-36 Biblia Habari Njema (BHN)
Au, nani aliyempa yeye kitu kwanza hata aweze kulipwa tena kitu hicho?” Kwa maana vitu vyote vyatoka kwake, vyote vipo kwa uwezo wake na kwa ajili yake. Utukufu na uwe kwake hata milele! Amina.
Shirikisha
Soma Waroma 11Waroma 11:35-36 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Au ni nani aliyempa yeye kitu kwanza, naye atalipwa tena? Kwa kuwa vitu vyote vyatoka kwake, viko kwa uweza wake, tena vinarejea kwake. Utukufu una yeye milele. Amina.
Shirikisha
Soma Waroma 11