Waroma 10:12-13
Waroma 10:12-13 Biblia Habari Njema (BHN)
Jambo hili ni kwa wote, kwani hakuna tofauti kati ya Wayahudi na wasio Wayahudi; Bwana wa wote ni mmoja, naye ni mkarimu sana kwao wote wamwombao. Maana Maandiko Matakatifu yasema: “Kila mtu atakayeomba kwa jina la Bwana, ataokolewa.”
Shirikisha
Soma Waroma 10Waroma 10:12-13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana hakuna tofauti ya Myahudi na Mgiriki; maana yeye yule ni Bwana wa wote, mwenye ukarimu mwingi kwa wote wamwitao; kwa kuwa, Kila atakayeliitia Jina la Bwana ataokoka.
Shirikisha
Soma Waroma 10Waroma 10:12-13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa maana hakuna tofauti ya Myahudi na Myunani; maana yeye yule ni Bwana wa wote, mwenye utajiri kwa wote wamwitao; kwa kuwa, Kila atakayeliitia Jina la Bwana ataokoka.
Shirikisha
Soma Waroma 10