Waroma 1:8
Waroma 1:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Awali ya yote, namshukuru Mungu wangu kwa njia ya Yesu Kristo kwa ajili yenu nyote, kwa sababu imani yenu inasikika duniani kote.
Shirikisha
Soma Waroma 1Waroma 1:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwanza namshukuru Mungu wangu katika Yesu Kristo kwa ajili yenu nyote, kwa kuwa imani yenu inahubiriwa kote duniani.
Shirikisha
Soma Waroma 1