Waroma 1:19
Waroma 1:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa maana, yote yanayoweza kujulikana juu ya Mungu ni wazi kwao; maana Mungu mwenyewe ameyadhihirisha.
Shirikisha
Soma Waroma 1Waroma 1:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa kuwa mambo ya Mungu yanayojulikana yamekuwa dhahiri ndani yao, kwa maana Mungu aliwadhihirishia.
Shirikisha
Soma Waroma 1