Ufunuo 9:5
Ufunuo 9:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Nzige hao hawakuruhusiwa kuwaua watu, ila kuwatesa tu kwa muda wa miezi mitano. Maumivu watakayosababisha ni kama maumivu yanayompata mtu wakati anapoumwa na nge.
Shirikisha
Soma Ufunuo 9Ufunuo 9:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakapewa amri kwamba wasiwaue, bali wateswe miezi mitano. Na maumivu yao yalikuwa kama kuumwa na nge, aumapo mwanadamu.
Shirikisha
Soma Ufunuo 9