Ufunuo 9:1
Ufunuo 9:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha, malaika wa tano akapiga tarumbeta yake. Nami nikaona nyota iliyokuwa imeanguka juu ya nchi kutoka mbinguni. Nayo ikapewa ufunguo wa shimo la kuzimu.
Shirikisha
Soma Ufunuo 9Ufunuo 9:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Malaika wa tano akapiga baragumu, nikaona nyota iliyotoka mbinguni, imeanguka juu ya nchi; naye akapewa ufunguo wa shimo la kuzimu.
Shirikisha
Soma Ufunuo 9