Ufunuo 7:12
Ufunuo 7:12 Biblia Habari Njema (BHN)
wakisema, “Amina! Sifa, utukufu, hekima, shukrani, heshima, uwezo na nguvu viwe kwa Mungu wetu, milele na milele! Amina!”
Shirikisha
Soma Ufunuo 7Ufunuo 7:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
wakisema, Amina; Baraka na utukufu na hekima na shukrani na heshima na uweza na nguvu zina Mungu wetu hata milele na milele. Amina.
Shirikisha
Soma Ufunuo 7