Ufunuo 7:10
Ufunuo 7:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakapaza sauti: “Ukombozi wetu watoka kwa Mungu wetu aketiye juu ya kiti cha enzi, na kutoka kwa Mwanakondoo!”
Shirikisha
Soma Ufunuo 7Ufunuo 7:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
wakilia kwa sauti kuu wakisema, Wokovu una Mungu wetu aketiye katika kiti cha enzi, na Mwana-kondoo.
Shirikisha
Soma Ufunuo 7