Ufunuo 6:9
Ufunuo 6:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha, Mwanakondoo akavunja mhuri wa tano. Nikaona pale chini ya madhabahu ya kufukizia ubani roho za wale waliouawa kwa sababu ya ujumbe wa Mungu, na kwa sababu ya ushuhuda waliotoa.
Shirikisha
Soma Ufunuo 6Ufunuo 6:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na alipoufungua mhuri wa tano, nikaona chini ya madhabahu roho zao waliochinjwa kwa ajili ya neno la Mungu, na kwa ajili ya ushuhuda waliokuwa nao.
Shirikisha
Soma Ufunuo 6