Ufunuo 4:11
Ufunuo 4:11 Biblia Habari Njema (BHN)
“Wastahili ee Bwana na Mungu wetu, kupokea utukufu na heshima na nguvu. Maana wewe uliumba vitu vyote, na kwa matakwa yako viliumbwa na vipo.”
Shirikisha
Soma Ufunuo 4Ufunuo 4:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Umestahili wewe, Bwana wetu na Mungu wetu, kuupokea utukufu na heshima na uweza; kwa kuwa wewe ndiwe uliyeviumba vitu vyote, na kwa sababu ya mapenzi yako vilikuwako, navyo vikaumbwa.
Shirikisha
Soma Ufunuo 4Ufunuo 4:11 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Umestahili wewe, Bwana wetu na Mungu wetu, kuupokea utukufu na heshima na uweza; kwa kuwa wewe ndiwe uliyeviumba vitu vyote, na kwa sababu ya mapenzi yako vilikuwako, navyo vikaumbwa.
Shirikisha
Soma Ufunuo 4