Ufunuo 22:3
Ufunuo 22:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapana kitu chochote kilicholaaniwa kitakachokuwa katika mji huo. Kiti cha enzi cha Mungu na cha Mwanakondoo kitakuwa katika mji huo, na watumishi wake watamwabudu.
Shirikisha
Soma Ufunuo 22Ufunuo 22:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wala hapatakuwa na laana yoyote tena. Na kiti cha enzi cha Mungu na cha Mwana-kondoo kitakuwamo ndani yake. Na watumishi wake watamtumikia
Shirikisha
Soma Ufunuo 22