Ufunuo 21:14
Ufunuo 21:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Kuta za mji huo zilikuwa zimejengwa juu ya mawe ya msingi kumi na mawili, na juu ya kila jiwe palikuwa pameandikwa mojawapo ya majina ya wale mitume kumi na wawili wa Mwanakondoo.
Shirikisha
Soma Ufunuo 21Ufunuo 21:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na ukuta wa mji ulikuwa na misingi kumi na miwili, na katika ile misingi kulikuwa na majina kumi na mawili ya wale mitume kumi na wawili wa Mwana-kondoo.
Shirikisha
Soma Ufunuo 21