Ufunuo 20:11
Ufunuo 20:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha, nikaona kiti cha enzi kikubwa cheupe, na yule aketiye juu yake. Dunia na mbingu vikatoweka mbele ya macho yake, na havikuonekana tena.
Shirikisha
Soma Ufunuo 20Ufunuo 20:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha nikaona kiti cha enzi, kikubwa, cheupe, na yeye aketiye juu yake; ambaye nchi na mbingu zikakimbia uso wake, na mahali pao hapakuonekana.
Shirikisha
Soma Ufunuo 20