Ufunuo 2:3
Ufunuo 2:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Wewe unayo saburi, umestahimili taabu nyingi kwa ajili ya jina langu, wala hukuvunjika moyo.
Shirikisha
Soma Ufunuo 2Ufunuo 2:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
tena ulikuwa na subira na kuvumilia kwa ajili ya jina langu, wala hukuchoka.
Shirikisha
Soma Ufunuo 2