Ufunuo 2:20
Ufunuo 2:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini nina jambo moja dhidi yako: Wewe unamvumilia yule mwanamke Yezebeli anayejiita nabii, anayefundisha na kuwapotosha watumishi wangu wafanye uzinzi na kula vyakula vilivyotambikiwa sanamu.
Shirikisha
Soma Ufunuo 2Ufunuo 2:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini nina neno juu yako, ya kwamba wamridhia yule mwanamke Yezebeli, yeye ajiitaye nabii na kuwafundisha watumishi wangu na kuwapoteza, ili wazini na kula vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu.
Shirikisha
Soma Ufunuo 2