Ufunuo 2:2
Ufunuo 2:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Najua mambo yako yote; najua bidii yako na uvumilivu wako. Najua kwamba huwezi kuwavumilia watu waovu, na kwamba umewapima wale wanaojisemea kuwa mitume na kumbe sio, ukagundua kwamba ni waongo.
Shirikisha
Soma Ufunuo 2Ufunuo 2:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ninayajua matendo yako, na taabu yako, na subira yako, na ya kuwa huwezi kuchukuliana na watu wabaya, tena umewajaribu wale wanaojiita mitume, nao sio, ukawaona kuwa waongo
Shirikisha
Soma Ufunuo 2