Ufunuo 2:19
Ufunuo 2:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Najua mambo yako yote. Najua upendo wako, imani yako, utumishi wako na uvumilivu wako. Wewe unafanya vizuri zaidi sasa kuliko pale awali.
Shirikisha
Soma Ufunuo 2Ufunuo 2:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nayajua matendo yako na upendo na imani na huduma na subira yako; tena kwamba matendo yako ya mwisho yamezidi yale ya kwanza.
Shirikisha
Soma Ufunuo 2