Ufunuo 2:11
Ufunuo 2:11 Biblia Habari Njema (BHN)
“Aliye na masikio, basi, na asikie yale Roho anayoyaambia makanisa! “Mshindi hataumizwa na kifo cha pili.
Shirikisha
Soma Ufunuo 2Ufunuo 2:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho anayaambia makanisa. Yeye ashindaye hatapatikana na madhara ya mauti ya pili.
Shirikisha
Soma Ufunuo 2