Ufunuo 2:1
Ufunuo 2:1 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
“Kwa malaika wa kanisa lililoko Efeso andika: “Haya ndiyo maneno ya yule aliyezishika zile nyota saba katika mkono wake wa kuume na ambaye hutembea kati ya vile vinara saba vya taa vya dhahabu.
Shirikisha
Soma Ufunuo 2Ufunuo 2:1 Biblia Habari Njema (BHN)
“Kwa malaika wa kanisa la Efeso andika: “Mimi nishikaye zile nyota saba katika mkono wangu wa kulia na ambaye hutembea katikati ya vinara saba vya taa vya dhahabu, nasema hivi
Shirikisha
Soma Ufunuo 2