Ufunuo 16:13
Ufunuo 16:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha, nikaona pepo wabaya watatu walio kama vyura, wakitoka kinywani mwa yule joka, kinywani mwa yule mnyama na kinywani mwa yule nabii wa uongo.
Shirikisha
Soma Ufunuo 16Ufunuo 16:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nikaona roho tatu za uchafu zilizofanana na vyura, zikitoka katika kinywa cha lile joka, na katika kinywa cha yule mnyama, na katika kinywa cha yule nabii wa uongo.
Shirikisha
Soma Ufunuo 16