Ufunuo 13:8
Ufunuo 13:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Wote waishio duniani watamwabudu isipokuwa tu wale ambao majina yao yameandikwa tangu mwanzo wa ulimwengu katika kitabu cha uhai cha Mwanakondoo aliyechinjwa.
Shirikisha
Soma Ufunuo 13Ufunuo 13:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na watu wote wakaao juu ya nchi watamsujudu, kila ambaye jina lake halikuandikwa katika kitabu cha uzima cha Mwana-kondoo, aliyechinjwa tangu kuwekwa misingi ya dunia.
Shirikisha
Soma Ufunuo 13