Ufunuo 13:5
Ufunuo 13:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha huyo mnyama akaruhusiwa kusema maneno ya kujigamba na kumkufuru Mungu; akaruhusiwa kuwa na mamlaka kwa muda wa miezi arubaini na miwili.
Shirikisha
Soma Ufunuo 13Ufunuo 13:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye akapewa kinywa cha kunena maneno makuu, ya kukufuru. Akapewa uwezo wa kufanya kazi yake miezi arubaini na miwili.
Shirikisha
Soma Ufunuo 13