Ufunuo 13:18
Ufunuo 13:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapa panatakiwa hekima! Mwenye akili anaweza kufafanua maana ya tarakimu ya mnyama huyo, maana ni tarakimu yenye maana ya mtu fulani. Tarakimu hiyo ni 666.
Shirikisha
Soma Ufunuo 13Ufunuo 13:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.
Shirikisha
Soma Ufunuo 13