Ufunuo 12:12
Ufunuo 12:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa sababu hiyo, furahini enyi mbingu na vyote vilivyomo ndani yenu. Lakini, ole wenu nchi na bahari, maana Ibilisi amewajieni akiwa na ghadhabu kuu, kwa sababu anajua kwamba muda wake uliobakia ni mfupi.”
Shirikisha
Soma Ufunuo 12Ufunuo 12:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa hiyo shangilieni, enyi mbingu, nanyi mkaao humo. Ole wa nchi na bahari! Kwa maana yule Ibilisi ameshuka kwenu akiwa na ghadhabu nyingi, akijua ya kuwa ana wakati mchache tu.
Shirikisha
Soma Ufunuo 12