Ufunuo 12:10
Ufunuo 12:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nikasikia sauti kuu mbinguni, ikisema, Sasa kumekuwa wokovu, na nguvu, na ufalme wa Mungu wetu, na mamlaka ya Kristo wake; kwa maana ametupwa chini mshitaki wa ndugu zetu, yeye awashitakiye mbele za Mungu wetu, mchana na usiku.
Shirikisha
Soma Ufunuo 12Ufunuo 12:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha nikasikia sauti kubwa kutoka mbinguni ikisema: “Sasa umefika ukombozi na nguvu na ufalme wa Mungu wetu, na mamlaka ya Kristo wake! Maana yule aliyewashtaki ndugu zetu mbele ya Mungu ametupwa chini. Naam, ametupwa chini huyo anayewashtaki usiku na mchana.
Shirikisha
Soma Ufunuo 12Ufunuo 12:10 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Ufunuo 12