Ufunuo 1:13
Ufunuo 1:13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
na katikati ya vile vinara nikaona mtu mfano wa Mwanadamu, amevaa vazi lililofika miguuni, na kufungwa mshipi wa dhahabu matitini.
Shirikisha
Soma Ufunuo 1Ufunuo 1:13 Biblia Habari Njema (BHN)
na katikati yake kulikuwa na kitu kama Mwana wa Mtu, naye alikuwa amevaa kanzu ndefu na mkanda wa dhahabu kifuani.
Shirikisha
Soma Ufunuo 1