Zaburi 92:12-13
Zaburi 92:12-13 Biblia Habari Njema (BHN)
Waadilifu hustawi kama mitende; hukua kama mierezi ya Lebanoni! Kama miti iliyopandwa nyumbani mwa Mwenyezi-Mungu, hustawi katika nyua za Mungu wetu
Shirikisha
Soma Zaburi 92Zaburi 92:12-13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwenye haki atastawi kama mtende, Atakua kama mwerezi wa Lebanoni. Waliopandwa katika nyumba ya BWANA Watastawi katika nyua za Mungu wetu.
Shirikisha
Soma Zaburi 92