Zaburi 91:9-10
Zaburi 91:9-10 Biblia Habari Njema (BHN)
Wewe umemfanya Mwenyezi-Mungu kuwa kimbilio lako; naam, Mungu aliye juu kuwa kinga yako. Kwa hiyo, hutapatwa na maafa yoyote; nyumba yako haitakaribiwa na baa lolote.
Shirikisha
Soma Zaburi 91Zaburi 91:9-10 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa kuwa Wewe BWANA ndiwe kimbilio langu; Umemfanya Aliye juu kuwa makao yako. Mabaya hayatakupata wewe, Wala tauni haitaikaribia hema yako.
Shirikisha
Soma Zaburi 91