Zaburi 73:26
Zaburi 73:26 Biblia Habari Njema (BHN)
Hata nikikosa nguvu mwilini na rohoni, wewe, ee Mungu, u mwamba wangu; riziki yangu kuu ni wewe milele.
Shirikisha
Soma Zaburi 73Zaburi 73:26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwili wangu na moyo wangu hupunguka, Bali Mungu ni mwamba wa moyo wangu Na sehemu yangu milele.
Shirikisha
Soma Zaburi 73Zaburi 73:26 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mwili wangu na moyo wangu hupunguka, Bali Mungu ni mwamba wa moyo wangu Na sehemu yangu milele.
Shirikisha
Soma Zaburi 73