Zaburi 71:3
Zaburi 71:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Uwe mwamba wangu wa kukimbilia usalama, ngome imara ya kuniokoa, kwani wewe ni mwamba na ngome yangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 71Zaburi 71:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Uwe kwangu mwamba wa makazi yangu, Ngome imara ya wokovu wangu. Maana wewe, Ndiwe mwamba wangu na ngome yangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 71