Zaburi 68:19
Zaburi 68:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu asifiwe siku kwa siku! Yeye hutubebea mizigo yetu; yeye ndiye Mungu wa wokovu wetu.
Shirikisha
Soma Zaburi 68Zaburi 68:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na ahimidiwe Bwana, Siku kwa siku hutuchukulia mzigo wetu; Mungu ndiye wokovu wetu.
Shirikisha
Soma Zaburi 68Zaburi 68:19 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Na ahimidiwe Bwana, Siku kwa siku hutuchukulia mzigo wetu; Mungu ndiye wokovu wetu.
Shirikisha
Soma Zaburi 68