Zaburi 50:11-12
Zaburi 50:11-12 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndege wote wa mwitu ni mali yangu, na viumbe vyote hai mashambani ni vyangu. Kama ningeona njaa singekuambia wewe, maana ulimwengu na vyote vilivyomo ni vyangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 50Zaburi 50:11-12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nawajua ndege wote wa milima, Na wanyama wote wa mashamba ni wangu. Kama ningekuwa na njaa singekuambia, Maana ulimwengu ni wangu, na vyote vilivyomo.
Shirikisha
Soma Zaburi 50