Zaburi 50:10-11
Zaburi 50:10-11 Biblia Habari Njema (BHN)
maana wanyama wote porini ni mali yangu, na maelfu ya wanyama milimani ni wangu. Ndege wote wa mwitu ni mali yangu, na viumbe vyote hai mashambani ni vyangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 50Zaburi 50:10-11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana kila mnyama-pori ni wangu, Na mifugo juu ya angani elfu. Nawajua ndege wote wa milima, Na wanyama wote wa mashamba ni wangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 50