Zaburi 49:20
Zaburi 49:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Binadamu hatadumu milele katika fahari yake, atakufa tu kama mnyama.
Shirikisha
Soma Zaburi 49Zaburi 49:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwanadamu mwenye heshima, iwapo hana akili, Amefanana na wanyama wapoteao.
Shirikisha
Soma Zaburi 49