Zaburi 43:5
Zaburi 43:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Mbona ninahuzunika hivyo moyoni? Kwa nini nahangaika hivyo ndani mwangu? Nitamtumainia Mungu, nitamsifu tena yeye aliye msaada wangu na Mungu wangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 43Zaburi 43:5 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ee nafsi yangu, kwa nini unasononeka? Kwa nini unafadhaika hivyo ndani yangu? Weka tumaini lako kwa Mungu, kwa sababu bado nitamsifu Mwokozi wangu na Mungu wangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 43