Zaburi 42:3
Zaburi 42:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Machozi yamekuwa chakula changu mchana na usiku, waliponiambia kila siku: “Yuko wapi Mungu Wako!”
Shirikisha
Soma Zaburi 42Zaburi 42:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Machozi yangu yamekuwa chakula changu mchana na usiku, Pindi wanaponiambia mchana kutwa, Yuko wapi Mungu wako?
Shirikisha
Soma Zaburi 42