Zaburi 4:8
Zaburi 4:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Nalala na kupata usingizi kwa amani; ee Mwenyezi-Mungu, wewe peke yako waniweka salama.
Shirikisha
Soma Zaburi 4Zaburi 4:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Katika amani nitajilaza na kupata usingizi mara, Maana Wewe, BWANA, peke yako, Ndiwe unijaliaye kukaa salama.
Shirikisha
Soma Zaburi 4Zaburi 4:8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Katika amani nitajilaza na kupata usingizi mara, Maana Wewe, BWANA, peke yako, Ndiwe unijaliaye kukaa salama.
Shirikisha
Soma Zaburi 4