Zaburi 38:9-10
Zaburi 38:9-10 Biblia Habari Njema (BHN)
Ee Bwana, wewe wajua tazamio langu lote; kwako hakikufichika kilio changu. Moyo wanidunda, nguvu zimeniishia; hata macho yangu nayo yamekwisha fifia.
Shirikisha
Soma Zaburi 38Zaburi 38:9-10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Bwana, haja zangu zote ziko mbele zako, Kuugua kwangu hakukusitirika kwako. Moyo wangu unadundadunda, Nguvu zangu zimenitoka; Nuru ya macho yangu nayo imeniondoka.
Shirikisha
Soma Zaburi 38