Zaburi 37:8-9
Zaburi 37:8-9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ukomeshe hasira, uache ghadhabu, Usikasirike, mwisho wake ni kutenda mabaya. Maana watenda mabaya watakatiliwa mbali, Bali wamngojao BWANA ndio watakaoirithi nchi.
Shirikisha
Soma Zaburi 37Zaburi 37:8-9 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Epuka hasira na uache ghadhabu, usihangaike: itakuongoza tu kutenda uovu. Kwa maana waovu watakatiliwa mbali, bali wale wanaomtumaini BWANA watairithi nchi.
Shirikisha
Soma Zaburi 37