Zaburi 25:4-5
Zaburi 25:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
Unijulishe njia zako, ee Mwenyezi-Mungu; unifundishe nifuate unayotaka. Uniongoze katika ukweli wako na kunifundisha, kwani wewe ni Mungu, mwokozi wangu; ninakutegemea wewe kila siku.
Shirikisha
Soma Zaburi 25Zaburi 25:4-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ee BWANA, unijulishe njia zako, Unifundishe mapito yako, Uniongoze katika kweli yako, Na kunifundisha. Maana Wewe ndiwe Mungu wa wokovu wangu, Nakungoja Wewe mchana kutwa.
Shirikisha
Soma Zaburi 25