Zaburi 24:3
Zaburi 24:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Nani atakayepanda mlima wa Mwenyezi-Mungu? Nani atakayekaa katika hekalu lake takatifu?
Shirikisha
Soma Zaburi 24Zaburi 24:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ni nani atakayepanda katika mlima wa BWANA? Ni nani atakayesimama katika patakatifu pake?
Shirikisha
Soma Zaburi 24