Zaburi 24:1-2
Zaburi 24:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Dunia na vyote vilivyomo ni vyake Mwenyezi-Mungu; ulimwengu na wote waishio humo ni mali yake. Maana yeye aliweka misingi ya dunia juu ya bahari; aliisimika imara juu ya mito ya maji.
Shirikisha
Soma Zaburi 24Zaburi 24:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nchi na vyote vilivyomo ni mali ya BWANA, Dunia na wote wakaao ndani yake. Maana ameiweka misingi yake juu ya bahari, Na juu ya mito ya maji aliithibitisha.
Shirikisha
Soma Zaburi 24Zaburi 24:1-2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya BWANA, Dunia na wote wakaao ndani yake. Maana ameiweka misingi yake juu ya bahari, Na juu ya mito ya maji aliithibitisha.
Shirikisha
Soma Zaburi 24