Zaburi 23:5
Zaburi 23:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Umeniandalia karamu mbele ya maadui zangu; umenipaka mafuta kichwani pangu; kikombe changu umekijaza mpaka kufurika.
Shirikisha
Soma Zaburi 23Zaburi 23:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Waandaa meza mbele yangu, Machoni pa watesi wangu. Umenipaka mafuta kichwani pangu, Na kikombe changu kinafurika.
Shirikisha
Soma Zaburi 23Zaburi 23:5 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Waandaa meza mbele yangu, Machoni pa watesi wangu. Umenipaka mafuta kichwani pangu, Na kikombe changu kinafurika.
Shirikisha
Soma Zaburi 23