Zaburi 23:1-2
Zaburi 23:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu ni mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu. Hunipumzisha kwenye malisho mabichi; huniongoza kando ya maji matulivu
Shirikisha
Soma Zaburi 23Zaburi 23:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu. Katika malisho ya majani mabichi hunilaza, Kando ya maji ya utulivu huniongoza.
Shirikisha
Soma Zaburi 23Zaburi 23:1-2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
BWANA ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu. Katika malisho ya majani mabichi hunilaza, Kando ya maji ya utulivu huniongoza.
Shirikisha
Soma Zaburi 23