Zaburi 16:9
Zaburi 16:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo nitafurahi kwa moyo wote na kushangilia, nami nitakaa salama salimini.
Shirikisha
Soma Zaburi 16Zaburi 16:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa hiyo moyo wangu unafurahi, Nayo nafsi yangu inashangilia, Naam, mwili wangu nao utakaa kwa kutumaini.
Shirikisha
Soma Zaburi 16Zaburi 16:9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa hiyo moyo wangu unafurahi, Nao utukufu wangu unashangilia, Naam, mwili wangu nao utakaa kwa kutumaini.
Shirikisha
Soma Zaburi 16