Zaburi 16:5-6
Zaburi 16:5-6 Biblia Habari Njema (BHN)
Wewe ee Mwenyezi-Mungu ndiwe riziki yangu kuu, majaliwa yangu yamo mikononi mwako. Umenipimia sehemu nzuri sana; naam, urithi wangu ni wa kupendeza.
Shirikisha
Soma Zaburi 16Zaburi 16:5-6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA ndiye fungu la posho langu, Na la kikombe changu; Wewe unayaamua maisha yangu. Mipaka yangu imeangukia mahali pema, Naam, nimepata urithi mzuri.
Shirikisha
Soma Zaburi 16