Zaburi 15:1-2
Zaburi 15:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Nani ee Mwenyezi-Mungu atakayekaa hemani mwako? Nani atakayeishi juu ya mlima wako mtakatifu? Ni mtu aishiye bila lawama, atendaye daima yaliyo mema, asemaye ukweli kutoka moyoni
Shirikisha
Soma Zaburi 15Zaburi 15:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA, ni nani atakayekaa Katika hema yako? Ni nani atakayeishi Katika kilima chako kitakatifu? Ni mtu aendaye kwa ukamilifu, Na kutenda haki. Asemaye kweli kwa moyo wake
Shirikisha
Soma Zaburi 15