Zaburi 139:4-5
Zaburi 139:4-5 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Maana hamna neno ulimini mwangu Usilolijua kabisa, BWANA. Umenizingira nyuma na mbele, Ukaniwekea mkono wako.
Shirikisha
Soma Zaburi 139Zaburi 139:4-5 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kabla neno halijafika katika ulimi wangu, wewe walijua kikamilifu, Ee BWANA. Umenizunguka nyuma na mbele; umeweka mkono wako juu yangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 139